Sehemu Ya (155) : Je, Wee Ni Miongoni Mwa Wanaume Wengi Wanaolalamika Wapenzi Wao Wanamegwa Na Wengine?? Nna Ushauri Wako Hapa.
mahaba niue niteketeze kabisa yenye
megawati za kumtosha kuendesha mitambo ya furaha kwenye moyo wake ..ukishindwa
kumpatia lazima atatafuta Generator la dharura au solar pannel just in case
umeme penzi wako hautabiriki. Hakuna mtu anaependa kukaaa gizani kusubiri umeme
usiotabirika wa TANESCO wakati majeneleta yanauzwa,
ukitafutiwa jeneleta la dharura kwenye mapenzi usilalamike jilaumu
mwenyewe kwa kutotabirika kwa Umeme penzi wako ..watu wanaskia joto wameamua
kujizatiti ili ukikatika tu kitu kinawaka AUTOMATIC. shikamoo wote mlioweka
mitambo ya symbion na aggreko kwa sababu wapenzi wenu wapo wapo tu hawajitambui
wanatumia Mita au Unit za luku .. WANAUME tusipoangalia tutajikuta LUKU haZina
kaZi mtu yupo under generator masaaa 24 kuepuka kadhia, utajibabeje!!!!!! mpe
mpenzi wako TENSION.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment