Sehemu Ya (157) : Ladies Bana... Wakati Wee Unasubiria Aivee.. Wenzako Wanamlia Kwa Chumvi.
NYANA SANA yaani utaambiwa unapendwa wewe malaika wewe mwanaume wa
kweli ndio wewe unakuta mwanamke anakudanganya kabisa yeye bikra basi mwanaume
unasema acha nisubirie tumalize chuo ntamuoa dooh baada ya kumaliza unakuta
anachukuliwa na mwingine na miguu alishampanulia kitambo yaani kumbukumbu
uliyobakiwa nayo..
wakati upo chuo kwa miaka mitatu ni kupiga nae SELFIEE TU WAKATI WA
GRADUATION usimwamini sana binadamu haaminiki ni bora akwambie una tabia mbaya
kamlazimisha kuliko kusubili embe liive wakati wenzio wanakula na chumvi.😀
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment