Sehemu Ya (156) : Kwenye Mapenzi, Wachafu Wengi Huwa Wana Tabia Ya Kuvaa Nguo Saafi.

Ngono Haiwezi kumfanya mwanaume asimuache mwanamke hata kama huyo
mwanamke Hawe fundi vipi ngoja nkwambie uzuri wa mwanamke unaweza ukampelekea mwanaume akamuoa mwanamke lakini tabia yake ndiyo itakayo muamulu atadumu kwa mda gani na huyu mwanamke  kama utaolewa kisa pesa basi usidhani kwamba kupitia pesa zake anaweza kubadilika basi jiandae kusurubika pesa sio kila  kitu katika maisha yako unajua pesa yake haiwezi kuleta ukweli na maana halisi ya furaha ya maisha na uzuri bila kuwa na tabia njema


huwezi pata mume bora sana sana unaweza pata boyfriend au kutembea na waume za watu kuna mambo mengine pesa haiwezi kununua kitu kama HESHIMA BUSARA NA UPENDO hivi vitu pesa haiwezi kununua kumbuka kuwa KUWA MTAMU KATIKA TENDO LA NGONO YAWEZA KUMFANYA MWANAUME AKALALA NA WEWE USIKU KUCHA NA ASUBUH AKAONDOKA ZAKE  ILA KUWA MTAMU KWENYE TENDO LA TABIA KUNAWEZA MFANYA MWANAUME AKUOE ADUMU NA WEWE MPAKA KUFA.

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments