Sehemu Ya (59) : Mapenzi ni Sanaa.. Mapenzi ni Vionjo.. Mapenzi Ni Sayansi.. Wale Wa Dk 10 Chalii Jiandae Kusaidiwa.


KAMA INAKUHUSU CHUKUA:
Kabla hujafungua domo lako na kuanza kumtongoza na kummwagia Sera zako 

na ahadi zako nyingi kama Ilani ya CCM jifunze kwanza HOW TO SATISFY HER.

Kama wewe ni Lawyer huwezi kuthubutu ku apply kazi ya Civil Engineer.. Hutaweza kuchora ramani kwa vifungu vya Katiba wala kuchanganya Zege kwa Jurisprudence... Wanaume wengi mnajua sana kutamka neno I love You lakini Ujuzi hamna. Maadam Afande Abdala Kichwa wazi yupo na unaitwa Mwanaume basi unahisi umemaliza. Mapenzi ni Sanaa.. Mapenzi ni Vionjo.. 

Mapenzi ni Sayansi.. Kazi kubwa ya Mwanaume sio Kukoroma na kutoa kibesi, Mwanaume rijali ni yule mwenye Uwezo wa Kumsatisy Mwanamke, akakata Kiu yake, akatosheka na Kucheua Mahaba.
Jifunze kwanza ndio uje uombe ku-practice... Hata madereva huenda Driving School ndio wanaomba leseni, huwezi kukurupuka tu na kuomba Leseni, ili umuendeshe nani???

Ndio Maana wengi wenu Mapenzi hamjui, Mnarukia tu wanawake wa watu kama unadandia Bodaboda, unahema, dakika 10 chali, HALAFU NA WEWE UNAJIITA MWANAUME. Mwanamke anarudi kwake kama alivyokuja. Jiandae Kusaidiwa.


Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter ,@KissToTheLadies 

WhatsApp +255 715 758 021

No comments