Sehemu Ya (153) : Nna Ushauri Wa Kimaisha Hapa.. Unaeza Jifunza Kitu Hapa..
yanayoonekana kwa macho ni mabovu hutupwa na yale yanayoonekana mazima hupikwa
na kuliwa.
Lakini cha kushangaza, hayo mengine yaliyoonekana ni mabovu mvua
ikinyesha huota na kuchanua mpaka unaweza kusikia mama akimwambia mtoto ngo'a
tu hayo majani lakini hayo maharage yaliyochanua na kupendeza yawekee udongo
yachanue zaidi.
Vivyo hivyo katika maisha, watu
wanaweza wasione thamani yako kulingana na hali na mwonekano wako wa
sasa na mazingira yanayokuzunguka. Watu wanaweza wakakubagua, wakakutenga na
kukutupa kwa kukuona hufai kwa kuangalia hali uliyonayo kwa sasa.
Brother, sister hutakiwi kubishana nao, kaa kimya baraka zako zikianza
kukujia watakuona jinsi unavyochanua na kupendeza kama maharage mabichi
yaonekanayo yakupendeza yakiwa shambani.
Hali uliyonayo kwa sasa hivi niya mda tu, na wala haitachukua mda
mrefu, hakika yake utachanua tu ila endelea kutenda yampendezayo Mungu.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment