Sehemu Ya (152) : Jinsi Ladies Wanavotupa "Big G" Kwa Karanga Za Kuonjeshwa.
ukamdiss boyfriend wako aliekusomesha na kukuhudumia tangu ukiwa
secondary ukafall kwenye penzi jipya la Kigogo aliekuhakikishia uhakika wa hela
ya matumizi, aliyekuachia verosa yake utembele, na mashosti wakakusapoti kwamba
huyo ndo bonge la bwana dude la kimataifa, achana na kile kidampa ndo kimemaliza
degree kitakuhonga nini zaidi ya course work baada ya muda unakuja kugundua
kuwa huyo mwanaume ni mwanaume wa mtu na ana watoto lukuki,
unaanza kulalama umeambiwa mkewe anarudi kutoka nje inabidi ukaribu
wenu upungue na gari urudishe kwakua mke anakuja kutumia unaripuka unakuja
kusema ALL MEN ARE DOGS.. ndo unajua leo?? Au ulijua umeshika kapeti ?? hakuna
shortcut , mheshimu sana mwanamke au mwanaume aliekuvumilia toka scratch,
kipindi unavaa suluali za atupele style na kuchomekea BATIKI hadi leo unavaa
Levi straus jeans na polo tshirt USIDHARAU !sio kukurupukia watu mtaani kisa
unahongwa gari, YES ALL MEN ARE DOGS tunatofautiana style ya kubweka tu...
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment