Sehemu Ya (51) : Sababu Kuu 3 Kwanini Wanawake Wameamu Kukimbilia Kwenye "USAGAJI"
Ni aibu sana kwake.. Kwa familia... Kwa jamii, na ndio maana
wanajificha... Haiko wazi coz its awkward... Wanawake ni viumbe so
complicated... They need
perfection... Sometimes wamejikuta wakichukua hatua
ngumu sana kwa sababu tu hawapati Perfection wanayoitaka katika kitu fulani..
Mathalani kwenye masuala ya mahusiano, Wanawake wamekuwa wakilalamika sana,
sana sana especially siku hizi, na wameamua kutumia SHORTCUT... Wameamua kuwa Wasagaji
iliwaweze kukabiliana na presha za vitu kadhaa vinavyowanyima raha....
Usagaji
ni kimeo... kibiblia ni DHAMBI NA CHUKIZO KWA MUNGU.... Kibinadamu ndio kabisa,
ni AIBU KUBWA.... Kihisia ni Uongo mtupu.... Kwa nguvu zote tuungane kuupinga
usagaji... watoto wa kike wengine wazuri sana, warembo, ukiambiwa ni wasagaji
hutaamini, lakini ndivyo! Sababu kuu 3 kwanini Wanawake wanashift na kuamua
kuwa Wasagaji ni hizi hapa:
1.WANAUME WANAZINGUA.
Hii ndio Falsafa yao Mpya. Wanaume mizinguo!
Wanawazinguaje... Hawana true Love... Wanawamix na mademu kibao, wanaumia
feelings... Kwahiyo kimbilio pekee ni kwa wanawake wenzao, maana they can
control them...This is so fake... Mungu hakuwa mjinga kukuumba Mwanamke na
akamuumba Mwanaume kuwa na Kiungo ambacho Mwanamke hana ili kikune pale, sasa
huu mkuno wa Female kwa female, hata kama Wanaume ni mizinguo, si vema kuwa na
Temporary Solution kwa Long term problem... Kwani zamani hakukuwa na Wanaume???
why nyie tu mje na sababu hizi???
2.WANAUME WANASHINDWA KUKUNA IPASAVYO WAKIPEWA NAFASI
Hili naweza kuwaelewa. Wanaume siku hizi wamekuwa mariyoo
mno... Swagger kibao zimejaa.. Mapenzi hayana Swagger, Mapenzi ni kazi, ukipewa
Kifusi shindilia, unaleta Swagger Bed??? Swagger hazilipi bills.... Mtu asubuhi
anakula Kababu... mchana chips yai.. Usiku Soseji... Utaweza wapi kazi sasa???
Wanawake wanataka mzigo, kuremba kwenu... Hili Wanaume mnabeba lawama
zoteeeeeee, usipopiga kazi, aidha watapiga Wanaume wanaojua shughuli, au ndo
hivi sasa wanaanza kushughulikiana wao kwa wao, maana wanajua wapi pa kugusa
mwenzao aje... Wanaume acheni Swagger, ukipewa kazi kamua...
3.KUIGA
Kila kitu cha West nanyi mmo... Ukiomna Marekani wanapromote
unatamani kujua nn utamu wake... Mtaiga kila kitu???? Iga vya maana, huu upuuzi
achaneni nao, wazungu maboya, wanawalisha kasa mnapotea... ukianza hii kitu
kuacha ni shughuli pevu sana... Mnaharibu wenzenu, mnaharibu watoto wenu
mtakaopata.. na mnaharibu jamii-Raha ya utamu upewe na kidume, ILA kidume kijue
kazi... Wanawake ni kwa ajili ya Mwanaume... Hasi na Hasi sio mpango... Mpango
mzima Chanya na Hasi... WANAUME.... Pigeni kazi, hawa Wanawake hawataki stori
mingi... kazi tu, we kula kula michips hiyo uone.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter ,@KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment