Sehemu Ya (143) : Ladies, Nina Ushauri Wenu Hapa.. Unaweza Badili Mtazamo Wako Hapo
Binadamu wana mtindo wakuvaa nguo safi katika miili michafu ngoja nkuambie
dadangu kipenzi utamu wako kwenye tendo la ndoa huweza kumfanya mwanaume akalala na wewe mpaka asubuhi lakini utamu wako katika tendo la tabia humfanya mwanaume akuoe na akae na wewe milele..
Nikutie moyo dadangu kuvaa mavazi mafupi yanayoonyesha maumbile yako hakuwafanyi wanaume kukupapalikia ila wanaume hupagawa na wadada wenye kujistili miili yao na bado wakaonekana almasi badilika leo unayo nafasi ukiona mwenyewe Huwezi mrudie mungu wako mshirikishe atakusaidia Angalizo muwindaji anaewindwa hana tofauti na mfugwaji anaefugwa .

Post a Comment