Sehemu Ya (144) : Kama Wee Ni Baby Mama Au Baby Daddy.. Nna Ushauri Kwaajili Yako Hapa... Unaeza Jifunza Kitu.

Natamani sana nkufundishe kitu kwa njia ya mifano ila nina wasiwasi na uelewa
wako watu wengi wanajua mwalimu ni yule aliyesoma sana lahasha lakini mimi nakuambia mwalimu ni yule aliyeelewa na katika uelewa lazima uone na kutazama lakini ukiona bila kutazama utabishana Na aliyetazama..

Ngoja nkwambie utatumia nguvu nyingi sana kuwatenganisha mtu na mzazi mwenzie namaanisha nini?? Kuna siku nyingi sana huwa najaribu kuandika kuhusu wadada waliozalishwa na wanaume ambao hawaishi nao wengi wanasema mimi nina ubaguzi wa kuwanyanyasa wadada wenye watoto kwamba wanakuwa hawana nafasi kwangu lahasha watu waliounganishwa na mtoto huwa ni vigumu sana kusahauliana hasa kama wametengana na kuwa na wapenzi wapya..

Hata kama utajifanya una furaha na kumlea mtoto wa mwenzio kumbuka ipo siku wazazi hawa kwa lugha nyepesi ya kiserikali wanaitwa mtu na mzazi mwenzie watakumbushia enzi kwa kuyafanya yale yaliopita hasa katika mapenzi je mwanaume mwenzangu upo tayari kuona mpenzio analambwa na kidume chake a.k.a baba mtoto? Kumbuka penzi la kwanza huwa ni penzi la kweli kuliko penzi la pili...


Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments