Sehemu Ya (138) : Je, Ushawahi Kukutana Na Wanawake Wajasiriamwili??
Sometimes sisi wanaume ni pasua kichwa vile vile, unakuta unapata
mwanamke
anaekupenda kwa dhati, mwanamke ambaye ni potential, mwanamke ambaye
hakodoi macho pochi yako, ila masikini ya Mungu anaishia kuumizwa na kulia kila
siku na kujilaumu kwanini alikupenda.
Wewe fanya hivyo ukidhani unamkomoa, ila siku na wewe ukibananishwa na
mwanamke mjasiriamwili utaisoma namba, nakwambia utauza hadi boxer.
Baadae unakuja kulalamika hapa 'wanawake wanapenda pesa, wanawake
wanapenda pesa.' ukishikwa shikamana. Na kama humpendi usimtongoze!
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment