Sehemu Ya (134) : Wakati Mwingine Kuachwa Ndo Kunaweza Kukufanya Huwe Bora Zaidi Kwenye Mahusiano.
Daima tuweke akilini ukweli kwamba hatuwezi kumlazimisha mtu atupende.
Hatutakiwi tumuombe mtu abaki wakati anataka kuondoka.
Hivyo ndivyo mapenzi yalivyo.. mapenzi ni uhuru. Hata hivyo mwisho wa
mapenzi sio mwisho wa maisha. Huo ndio unatakiwa uwe mwanzo wa kufahamu kwamba
kuachwa kupo lakini kutakuacha na somo la kujifunza na huenda kukakufanya kuwa
bora zaidi kuliko mwanzo.
Kama mtu anakupenda kweli, hatakupa sababu yoyote ya kuwa na wasiwasi
na mapenzi yake kwako. Kila mtu anaweza akaja na kukueleza ni namna gani
anakupenda, ila huchukua mtu ambae ni special kubaki katika maisha yako na
ku-prove upendo wake.
Muda mwingine huchukua muda mwingi kumpata mtu sahihi. Tibu moyo wako
uliojeruhiwa, samehe nafsi yako, msamehe aliyekuumiza then usiwe na haraka.
You'll find someone who will love you the way you are.
"The truth is, unless you let go, unless you forgive yourself,
unless you forgive the situation, unless you realize that the situation is
over, you cannot move forward.."
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment