Sehemu Ya (133) : Ushauri Kidogo Katika Kutatua Migogoro Katika Mahusiano.
Endapo ikatokea migogoro kati yenu, kutokuelewana au sintofaham kwenye
mahusiano yako, nakusihi kukabiliana na
hiyo hali kwa kumbukizi nzuri na zilizomaridhawa.
Usiondoshe giza kwa giza, bali tumia nuru kuondosha giza.
Kama mwenza wako amekukosea, kumbuka yale mambo mazuri aliyowahi
kukufanyia au nyakati bora ambazo mliwahi kupitia.
Litokeapo jambo hasi jikumbushe kwamba mwenza wako anazo sifa nzuri na
kwamba bado unafurahia kuwa pamoja naye.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment