Sehemu Ya (129) : Kama Unapenda Kumuweka Mpenzi Wako "DP" Jifunze Kitu Hapa.
JAMANI HIZI TABIA ZA KUWEKA WAPENZI WETU KWENYE DP WAKATI MNA
JIJUA MNA
WAPENZI ZAIDI YA 1 HALAFU KILA 1 ANAJUA YUPO MWENYEWE SI NZURI JAMANI😭😭
Kilicho tokea jana: Nilikuwa na marafiki zangu tuna badilishana mawazo
ghafla mmoja anamuona rafiki yake Kwenye DP ya mpenzi wake, akastuka na
kutuonesha Akataka kumpigia Simu mpenzi wake Na kumuuliza ila nikamwambia no
mpigie rafiki yako mwanamke hato kwambia ukweli Basi akanisikiliza na kumpigia
rafiki yake Na rafiki yake akamjibu kuwa ni mpenzi wake..
Jamaa akastuka Sana Na akaumia Sana Na akawa muwazi Kwa rafiki yake
kuwa Na mi pia ni mpenzi wangu na mwenzake pia akashangaa wakawa wanataka
kumpigia na kumuuliza Nikawauliza kuwa kuna mmoja wenu hapo ambaye akitaka
mzigo ananyimwaga? KILA MTU HAPANA Kuna 1 wenu hapo hafurahishwi akiwa na huyo dada? KILA MTU
ANAFURAHISHWA..
Kuna 1 wenu anahisi kuwa hapewi haki zake zote kutoka Kwa huyo dada?
JIBU HAKUNA.. Mkimuuliza mtagombana naye tu na mtakuwa mmejenga uhasama usio kuwa
sababu so chakufanya muacheni aendelee kujiona mjanja Na kila mtu aendelee
kumtafuta Kwa wakati wake Endeleeni kujifanya hamjuani ila chamsingi msiwe na
wivu coz siku unaweza kutaka mzigo ukaambiwa naumwa halafu ukagundua kuwa ume
danganywa haumwi ila mwenzako alitangulia kuomba tu so ukijua hilo unatakiwa
kuwa mpole..
Endelea kuwepo siku ukichoka utaondoka utamuachia mwenzako na mwenzako
akichoka nae atawaachia wenzake UGOMVI WA NINI?
Nashukuru MUNGU walinisikiliza na kuamua kuishi hivyo but ONYO msipende
kuweka pic Za wapenzi wenu kwenye DP zenu kama mna kijua mna wapenzi wengi
MTAUMBUKA🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃
Post a Comment