Sehemu Ya (128) : Changamoto Walizonazo Ladies Wa Kibongo Ukitaka Kuanzisha Mahusiano Nao.

Kuna rafiki yangu flani aliniambia kuwa hakuna kitu kigumu Tz kama
kutengeneza mahusiano na Mwanamke .

Nikamuuliza kwanini unasema hivyo? Akaniambia Unaweza kuomba muonane hata Mara 10 JIBU lake Ucjali tutaonana tu na wee lazima ndio Uwe Mtu wa kuwa una msalimia kila Mara ukisema uache tu Kwa muda number yako inafutwa  MTU MWENYEWE HANITAFUTI WANINI?😂😂😂

Ukiacha kumuuliza tutaonana lini Pia ni tatizo yani usitegemee kuwa akipata nafasi atakwambia ENDELEA KUTOA POVU LA KUULIZA KILA SIKU😂😂😂

Akaniuliza unajua kwanini wana kuwa hivyo?

Nikamwambia hapana, akasema hawana mapenzi ya kweli yani tuna walazimisha waingie kwenye mahusiano.

Unakuta yupo Na list kubwa hajui wapi aangukie so usipo kuwa Mtu wa kujiongelesha mara Kwa Mara baada miezi kadhaa jiandae kuulizwa we nani coz atakuwa amesha kusahau.


Na ndio maana wanaume wa kibongo wana kuwaga Na nyodo Sana wakisha fanikiwa kumpata Mdada yani akitaka aje akitaka hasije coz amesha sumbuka Sana, amesha kuchekesha Sana, amesha Chungwa Sana, amesha ulizwa we Nani Sana anakuja kumpata anaona uh! Mbona kawaida tu? HIYO NDIO TZ KUWA MPOLE😂😂😂

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments