Sehemu Ya (127) : Madhara Ya Kufungua Miguu Mapema Kwenye Mahusiano.
Kufanya Mapenzi mapema kwenye mahusiano ni sawa na kulisha kuku wa
kisasa. Hufanya mahusiano yakue haraka bila kuwa na uimara au ubora wenye
virutubisho vyenye ladha.
👴Natoa pongezi kwa wote ambao mpaka leo hawajawahi fanya
mapenzi huku wakisubilia ndoa na wakiimarisha uhusiano.. Kama Wapo Lakini.
Post a Comment