Sehemu Ya (125) : Jinsi Wanawake Wanavoweza Kuubadili Usiku Kuwa Mchana... Nyeusi Kuwa Njano.
LEO nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua.. Nikamuuliza eti
dada unavijua VISA vya
wanawake?? Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi
wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona
wanakuja akajimwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta
sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi wenye hasira walivyofika, wakamuulza,
kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndiye amenisaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka… Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo
visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshimu mwanamke hata
kinafiki, usijfanye jeuri!!!..
Nikaondoka na funzo langu…… Shikamoo wanawake katika
maisha yangu natamani sana kumfanya mwanamke hawe rafiki yangu lasivyo hata
bila kuwezeshwa wanaweza😁😁😁😁
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment