Sehemu Ya (124) : Wanaume, Kama Una Tabia Za Kudanga.. Ukipakwa "KY" Usimlaumu Mtu Aisee.

Hii tabia ya mwanaume kuvizia wamama na wadada wenye pesaa ili
muwatongoze na kuwalaghai mnaitoa wapi?

Ninachojua mm wadada ndio wana tabia hiyo ya kudanga kwa Masponsor. Lakini cha kushangaza huu Mwaka wanaume na nyinyi mnatafuta Masponsor kama dada zenu wanavyofanya.

Yani wanaume mnakaa kabisa kijiweni kujadili jinsi ya kumdangia mheshimiwa fulani mwanamke kweli vyuma bado vimekaza naona grease haijafanya kazi.
Zamani ukisikia kuna vikao vya Bunge Dodoma utaona wadada wanatoka Dar na mikoani kuja kuwadangia waheshimiwa lakin saivi imekuwa kinyume wanaume ndo wanadanga ili kupata pesa.

Badala ya kuitwa viben 10 mtaitwa viben 5 nawaambia.
Kumbe huwa mnatamani mambo ya kike, naona siku nyingi mlitamani kudanga sasa kuwaita wadada wanapenda pesa ndo nini? Wakati na nyinyi mmekuja humo humo tu kwenye kudanga Masponsor.


Mwaka 2018 wanaume hatutaacha kuwaita viben 10 na mjiandae kuchezea makofi (in shilole voice) ...ni aibu vijana wa mjini mnapenda kazi nyepesi kula kulala gym vipodozi basi na ndomana mnamawazo mgando kama mtindi ukikaa nje ya friji unaooza kwa kukosa ubaridi mkipakwa KY msimlaumu mtu...

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments