Sehemu Ya (123) : Uvumilivu Wa Mwananke Unategemea Saana Mwanaume Unapambana Vipi Na Hali Yako.

*WANAUME*

Ni LAZIMA mtambue wastani wa mwanamke kumvumilia mwanaume ambaye hana hela ni miezi miwili tu, tofauti na hapo dunia nzima itajua unalishwa.

*WITO KWA WANAUME*

Pesa ndio nguvu za kiume, zitafuteni kwa wingi. hawakawii kujiita ma supa woman huku wanalia kwenye mitandao.

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments