Sehemu Ya (97) : Baadhi Ya Sababu Za "Kiboya" Zinazowapelekea Vijana Wengi Kuingia Kwenye "Ndoa" Kimakosa.
Etii...
1: Umri wangu umeenda sana ngoja niolewe/Nioe.
2: Nimechoka kuwa single wacha tu niolewe/Nioe.
3: Wenzangu wote wameolewa/wameoa nimebaki mimi tu ngoja na mimi
niolewe/nioe.
"My Dear friend's"Kama unataka kuingia kwenye Ndoa na sababu
kama hizo nakushauri acha Kabisa mawazo hayo. Kumbuka "Ndoa sio kifurushi
cha Wiki"
Kama Unaota Amka Hiyo Ndoto Ni Ya Vibwengo.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment