Sehemu Ya (91) : Je, Unayajua Mambo Mazuri Wafanyayo Ladies , Lakini Wanaume Huyachukulia Poa Tu??
WANAUME huwa tunatamani sana kupata WIFE MATERIAL lakini cha ajabu
tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta
wenyewe...
Ukiona Mwanamke ana WIVU NA WEWE, anakufuatilia mambo yako, uko wapi,
umekula, umekula nini, umekula saa ngapi, kwanini hujalala, kwanini umepiga
picha na mdada asiyemjua, kwanini hujamtafuta nusu saa, kwanini uko Online
Whatsapp lakini haumtext, TUNAANZA KULALAMIKA, "Oh huyu Mwanamke ana wivu
sana mi siwezi"
Mwanamke mwenye Wivu SHE IS IN LOVE... SHE IS LOYAL.. SHE IS FAITHFUL
Hawa makurumbembe tunaowapenda kisa hawatusumbui wote WEZI NA WAONGO
TU, they are after something, Kwao Mapenzi ni rahisi kama kuagiza RED BULL
BARIDI.
Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wako 15 tu, kama umempata mmoja kati ya
hawa MSHIKILIE, NA MPENDE SANA, USIMTIBUE... Akiondoka huyo utapata Bata la
Uswahilini, hata uuchune SIKU 2 na yeye hakutafuti, utabakia na Majuto while
She is Gone na amempata aliyeona thamani yake...
WANAUME HATA HATUELEWEKI TUNATAKA NINI SOMETIMES, Hata mnune mpige mawe UKWELI NDIO HUU..
WANAUME HATA HATUELEWEKI TUNATAKA NINI SOMETIMES, Hata mnune mpige mawe UKWELI NDIO HUU..
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment