Sehemu Ya (90) : Ladies, Kabla Hujamwaga Mauno Kama Yondo Sista.. Jiulize Uko Tayari Kwa Matunda Ya Hayo Mauno???
kuishughulikia siku ile ya shughuli,... Unasema hukutegemea... Hapo ndo wazimu
unapoanzia, Unamnywesha farasi wako Petroli ili akimbie kama Verossa??? Huwezi
kukata kiuno useme hukutegemea Mimba..
Umeenda Mbali zaidi... Unataka uolewe kwa sababu una Mimba... wazimu
Part 2... Mimba ni Temporary, utajifungua miezi 9 ijayo.... Unataka ujitwishe
Msalaba wa Milele kwa sababu ya Tatizo la Muda mfupi.. Ukiingia Ndoani huwezi
kujifungua, Ndoa ni Mimba ya Milele, Remember that..
Kabla hujamwaga Mauno kama Yondo Sista jiulize uko tayari kwa matunda
ya hayo mauno??? Usijigeuze steji Shoo kama hujapewa ajira na Akudo... tumia
kinga condom 900 itapendeza zaidi.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment