Sehemu Ya (89) : Vitu Vidogo Vidogo Vinavofanya Mwanamke Wako Aibiwe.


Haihitaji Kuwa Profesa kujua kwamba Mwanamke hutekwa na vitu vidogo-
vidogo tuu ambavyo wewe unavidharau na kuviona havina maana... Unaweza kumpa Mamilioni na kumhonga magari lakini kama hana furaha na wewe ni BURE...

Kamwe usiruhusu Mwanaume mwenzio akachukua nafasi ya kumfanya Mwanamke wako asmile... Wewe unakazana kumfanya anune, halafu Mwanaume mwenzio anambadilisha na kuweka tabasamu usoni... Haijalishi jana Usiku umempa Milioni ngapi afungue Biashara, na haijalishi huyu aliyemfanya asmile ni Muuza Genge...

ATAMCHUKUA TU... Vitu vidogo-vidogo ndio vinamfanya huyu aibiwe na yule asiibiwe hata kwa winchi.... Wewe honga Milioni, Mwenzio anahonga Attention na anakupindua... Angalizo hii ni kwa wadada Wa kijijini na sio wapenda vipusa Wa mjini.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments