Sehemu Ya (88) : Unayajua Mahaba "KungFu"??


Hakuna kitu kizuri kama kumpa Mpenzi wako vyote ili akose vya kuomba nje!
Usiache hata tundu moja la kidudu kuingia na kusambaratisha.....Mpe Mawasiliano kwa Asilimia Zote..... Mpe Attention.... Mpe hela ukiweza... Mpe Mahaba makali yenye Kungfu, Taekwondo na Kila kitu....

Hakuna Mwanaume atamuiba maana unapata vyote.... Hakuna Mwanamke atampa lolote ambalo wewe hujui, Viuno vyote wavijua, Feni Mbovu Style, Feni nzima, Air Condition Moves, Mupeeee.

Kama umegundua tatizo ni Mahaba uliyokuwa unampa badilika, kuwa mbunifu from NOW going forward... Si unampenda??? Usijali kwamba kuna Competition, wewe fanya kwa nafasi yako.... Mchoshe hadi akiwaza kuamka kwenda kule akute hana nguvu tena, atabaki kwako.. Dozi Tu!

Baada ya muda utagundua amerejea, Kule alikoibwa hakuna Jipya tena, atabakia wako na utaishinda vita.. ILA, Jifanye bandidu, eti unamnunia kwanini kaenda kule.... Au unamtafuta huyo Mwanaume Mpya au Mwanamke Mpya unaanza kumtukana, eti ooh ntakukomesha, unaiba vya watu, mara ooh ntakuloga uvae chupi usoni... ah wapi, unafeli.... 

Dawa ya mwizi ni kumkimbiza kimyakimya, wala kelele hupigi, mwenyewe atahisi huyu niliyemuibia leo sio wa kawaida, ila makelele ya mwizi mara vile, wote mtaonekana wezi.....

KIMBIZA MWIZI KIMYAKIMYA.... JIPANGE KIMYAKIMYA... .SHAMBULIA KIMYAKIMYA 

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments