Sehemu Ya (87) : Jinsi Wanawake Wa Sikuhizi Ambavyo Hawatabiriki Kama Mvua Za "DAR".


Wanaume kihistoria huwa wanakuwa na mahusiano mengi kuliko wanawake..
Wanawake huwa wana sense of shame kwenye idadi ya wanaume wanaolala nao (with exception to bisshh who don't care)... So kwa Mwanaume kuwa na list ya wanawake 15 ni kawaida, wakati Mwanamke akifikisha 6 nafsi inamsuta kwamba sasa anajaza kontena...

Hii imewafanya wanaume kuwa exposed na mambo mengi sana kuhusu Mapenzi kuliko wanawake.... In 5 years, Mwanaume anaweza kuwa na mahusiano na Wanawake hata 10... Katika hawa 10, kila mmoja alikuja na rangi yake... Huyu anamtenda kwa style hii... Huyu style ile... 

So in 10 girls, anakuwa amewajua Wanawake vizuri na all types... Akija kwako wewe Mwanamke wala anakuwa sio mgeni, ukifanya jambo ana recall nyuma kwamba kilipotokea hicho Something happened... 

Na kwa Mwanaume kama alitendwa kwa style hiyo 5 years back na mtu, halafu wewe unakuja kumfanyia remix leo, usitegemee huyo atakuwa na huruma na wewe... NEVER! Atajua whats next na hatojali kukupush hadi wewe unapotaka kufika, hata kwa fork-lift...

In general, Mwanaume aliyeumizwa kamwe hatajali kwa sababu ataona wanawake wote ni sawa, which is not true, lakini Wanawake, epecially wa siku hizi mmekuwa Chronic, hamtabiriki kama Mvua za Dar, muda wowote zinanyesha bila Mamlaka ya Hali ya hewa kutrace your occurence, so wanaume wamejitune.. Anytime wako Standby kama FFU na Maandamano ya Chadema, na hapa ndipo Wanawake wengi wanapoumizwa...

Wengine ni wema tu lakini mmekumbana na Wanaume waliopokea visago ambavyo kupona kwake ni kwa neema ya Mungu, usipoweza kumtibu vizuri basi utaumia tu, na wengi wenu hamna muda wa kuwajua boyfriends zenu, mko bize kuomba hela za Mawigi tu.... 

Sababu Hii hufanya wanaume wasiwe na huruma siku hizi  wanakua na visirani kwa mda mrefu sana a.k.a gubu wazee Wa reference na ndomana sahivi wana kauli yao ya Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa WoWoWo eti hata ujirembe vipi wenyewe  wanatazama wowowo wasomeni waume zenu girls..

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments