Sehemu Ya (85) : Kwenye Mahusiano Jitahidi Usikumbatie "MAJI".


Akisema YOU ARE NOT MY TYPE usinune.... Just smile, hajakudhalilisha,
hajakushushia heshima... Inawezekana level uliyo wewe hajafika, na hastahili kukumiliki..

So akisema sio type yako ni kweli, He/She doesn't deserve you, Look for your type and Fall in Love with Him/Her... usikumbatie Maji .

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments