Sehemu Ya (84) : Jinsi Unavotakiwa Ku "JUDGE" Usaliti Kwenye Mahusiano.
Kama umemfumania mara moja,na una uhakika amefanya... Kabla hujaamua
kumuacha jiulize, Je, umemsaliti mara ngapi bila yeye kujua na ukatoka FREE???
Kama jibu ni mara nyingi, then ukimuacha kwa kosa moja wewe ni MUONEVU!
Ndio, Wanaume na wanawake ,naongea na nyie! Tusiwe kina Adela kunyoosha
vidole mfyuuu na asiye na dhambi na awe Wa kwanza kumpiga mama jiwe.. Jesus ni
genius sana anaona mbali .
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment