Sehemu Ya (83) :Ladies, Kama Una Tabia Za "Nyama" Utaliwa Tu Na "Mbwa" Halikwepeki Hilo.


Mbwa hula Nyama wala hali Majivu.... Ng'ombe hula Nyasi wala hali Burger..
Ukienda bandani kwa Ng'ombe ukamuwekea Burger ukaondoka ukakuta ile Burger imeliwa huyo sio Ng'ombe amekula, Ni Houseboy kaipitia!

Etii... ALL MEN ARE DOGS! Kabla hujatamka hii Statement ya kiboya hebu kwanza jiulize vitu vifuatavyo:

-Haiwezekani u-DATE na Wanaume 30 halafu wote wamekuona wewe ni NYAMA, wakakutafuna na walipomaliza wakaondoka. JE, Wa kulaumiwa ni Mbwa kula nyama, ambacho ndio chakula chake au Wewe kwa kukubali kuwa Nyama ambacho ni chakula cha mbwa???

-Sumaku hainasi Udongo wa Mfinyanzi, unanasa jamii ya Chuma-Chuma... Kwanini uvutie DOGS tu kama wewe sio Nyama?? Ukitaka usinaswe na Sumaku basi usiwe jamii ya Chuma, Full Stop. Ukiona Mbwa wanakupenda sana ujue wewe kwao unaonekana NYAMA. Ukitaka DOGS waache kukupitia Badili Muonekano wa Nyama, Tabia za Nyama, na Harufu ya Nyama.

Ukiendelea kuwa na Tabia, Muonekano, Wajihi, Mikogo, Styles za Nyama, Mbwa wataendelea kuja kwako daima na UTALIWA TU.. Mbwa halaumiwi kwa Kula Nyama kama ambavyo Ng'ombe halaumiwi kwa kula Nyasi na Binadamu kwa Kula Burger. THE PROBLEM IS YOU... Who you are determines whom you attract close to you... jifanye uelewi wakupitie then utajua kwanini lowasa alisema elimu elimu elimu.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments