Sehemu Ya (80) : Ukimpenda Mwanamke Wee Mpende Tu.. Kazi Ya Uchunguzi Waachie Madaktari.
mwanamke we mpende tu usipoteze mda wako kumchunguza sana... mwanamke ameumbwa
ili apendwe sio kufanyiwa uchunguzi kama postmoterm ya maiti ukimpenda mwanamke
bila kumfanyia uchunguzi utaishi kwa raha maisha yako yote.
Lakini muda
utakapojiongezea KPI ya kuanza kujaribu kumwelewa basi unakaribisha karaha
maisha yako yote maana mwanamke haeleweki hata umpime na thermometer. kama
anaweza kupaa bila ungo wiki nzima na akarudi bila kuanguka, unadhani unaweza
kumwelewa?? Ukimpenda mpende kazi ya uchunguzi waachie madaktari.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment