Sehemu Ya (79) : Wale Wanaojisahau Baada Kuoa Au Kuolewa.. Hii Ni Yenu Pia.
wanaiwinda ndoa wanajituma, viuno sana Mbilia Bel chamtoto, akiolewa sasa...
ana relax, anaona kamaliza, hajui competition iko palepale, we jifanye umefika
uone vimada vitakavyochukua nafasi, utajikuta ur just a house wife, raha
wanapewa wanaojituma..
Na nyie Wanaume, endeleeni kula bia, huyo mwanamke anataka shughuli,
ukidhani umempata imetosha na hana la kufanya unajidanganya, wanaojua kusimamia
kucha watamkamata, we ukija na mibia yako unapiga kimoko cha kichovu unakoroma
kama Beberu... Penzi ni jukumu, ukijisahau umeumia.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment