Sehemu Ya (69) : Unazijua Tofauti Kati Ya "Mke" Na Mchepuko?
Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu... Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu. Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu
yako.
Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia
hupati huduma.
Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu
ni nzuri, nyembamba, na ni rahisi kubeba.
Gharama za huduma za tv ni ndogo sana, Lakini gharama za
huduma za Simu ni kubwa na pia ni lazima kuzitimiza.
Tv ina remote lakini Simu haina.
Kitu muhimu zaidi simu ina njia mbili za kuwasiliana
unaongea na unasikiliza lakini Tv unalazimika kusikiliza hata kama hutaki au
unataka.
Unaweza kununua Tv mara moja na ukatumia kwa kipindi kirefu
lakini Simu mara zote unabadilisha inategemea na fasheni.
Ya mwisho na ya kuzingatia... Tv haina Virusi lakini Simu inayo.
KUWA MAKINI...
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment