Sehemu Ya (68) : Ladies, Unamwitaje Mpenzi Wako??
wako zaidi ya BABY??? Maana neno BABY limepoteza
maana yake halisi, kuna girls wanaitana BABY kisa ni ma-BFF sijui, siku hizi
hadi mahousegirl wanaenda english course unaambiwa, DAD, Karibu chakula BABY..
Why tusifind majina Unique mengine tu,sio Formal, kwa mfano
my Umbrella, My Laptop Password, My Pin code, My button... Somethn crazy but
lovely. Sasa chonde chonde, nenda kamtunge Mpenzi wako My Gorilla,
My Toilet Paper, My Mwakyembe Train, sitakuwepo ukiwa unakong'otwa... Lets be
creative,
BABY is too boring and too much. Ni wazo tu... ingawa najua girls
majina mmewasave bajaji mwenge... kucha makumbusho .... hasta la vista.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment