Sehemu Ya (65) : Mapenzi Na Communication Ni Kama Kiuno Na Kalio Lazima Viende Pamoja.

Hakupigii simu hadi Hawe na "Nyeg*", anaomba kuazima Kiuno chako kwa
Muda ili aende Ku-offload kisima chake cha maji ya baraka... Hakutumii message mpaka wewe umuanze kila siku na hata ukimuanza sometimes hatakujibu kwa wakati... 

Lakini wewe unaamini you are in love... Eti na wewe wakiitwa walio in a relationship unaenda... UR IN LOVE! Silly as ever! Kuamini huyu Mwanaume ana future na wewe na anakupenda ni sawa na kumuwekea dhamana Mmasai kwamba Upepo ukipuliza Lubega yake hatakaa Uchi.... 

Unatumika kama Kinu cha kusagia Nafaka ilihali hutaonja hata Uji wa nafaka uliyosaga... Mapenzi na Communication ni kama Kiuno na kalio Lazima viende pamoja! 

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments