Sehemu Ya (66) : Mapenzi Hayana Uchafu , Uchafu Upo Jalalani.

Usipompa vyote ukajifanya una aibu au utaonekana malaya, akitokea wa kumpa
akamteka usilie na mtu... Mapenzi hayana uchafu,uchafu uko jalalani!

Mwanamke kamili ni yule anayejiheshimu akiwa mtaani, Malaya sana Kitandani na Mkali wa kumiliki jiko... 

Kama huna hizi sifa 3 sahau wewe kupata True Love.. Jiandae kupitiwa tu watu hawakai kaa Chalinze, unatumika kama kituo cha Mabasi ya Mikoani.. happy birthday mwanasheria msumbufu live long brother mshikaji wangu mpambanaji aka Steve Haha mzee wa comment ngumu kama ugoko wa mwanamke wa  kigogo.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments