Sehemu Ya (64) : Mahausigeli Siku Hizi Mazahausi Ukizubaa Tu RONALDO Huyooooo Kapita.
proud of YOU!! Ukiwa Sharp hata mmeo atakusifia kwa rafiki zake,
hiyo kafanya mama flani bwana.... Sasa mmeo hana hata kimoja cha kukusifia....
Bed pia uko shallow na you dont bother kujifunza wala, unaona utaaaammmm... Mh
mama, wataka ndoa ama ndoano???
Mkisoma Sifa za Mke mwema kwenye Biblia ndo mtajua.... Mke
sio Sura au Shape, hata Punda ana shape... Mke shurti uwe SHARP..... Kuna nyumba ukiingia tu unajua Mke KILAZA... liko wazi....
Mwanamke Sharp hata ukifika kwake utaona.... iko clear na kilaza iko clear...
Kuna watu wanaoa vilaza wanajuta... Mke hajui kupika, kutwa
alikuwa anashinda vibanda vya chips na kula burger... Kisa ana shape umeweka
ndani, dadeki bonge la pancha, muda wote anatengeneza kucha... Mwanamke kufua
hawezi/hataki eti ataharibu kucha.... Mwanamke anajua Kuoga na Kuvaa tu....
Mwanamke kupika hawezi anamuachia Housegirl kila kitu....
Mahausigeli siku hizi
ukizubaa tu RONALDO huyooooo kapita, unapinduliwa Uganda hivi hivi na IDD AMIN
upo hapo hapo! Mwanamke kitanda akutandikie Housegirl???? Halafu unategemea
nini??? Kama Housegirl anashine in the eyes of your Man kwamba yeye ndo
Masterplanner wa House, Mmeo atajuta kwanini alikuoa wewe ni afadhali
angem-turn Housegirl into a Wife....
Tafadhali, Think Twice, Ndoa sio kama Vinyweleo kila mtu
anavyo... Zile Zama zimepita.... Utabakia kutegesha Mimba huolei Ng'o maana
huoleki... Kama una hizi Tabia BADILIKA lasivyo chagua, ama UJIOE au
UOLEWE na Same type of Stupid Man as ur maana mtakutana wote level za Ngassa na
TEgete... ASANTE!
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment