Sehemu Ya (63) : Jinsi Wanawake Wazuriii... Maringo Na Mashauzi Ya 900 , Wanaongoza Kwa Kuachwa.
kinachozuia upepo usivume, na una hela na kazi nzuri sana, Kama
una KIBURI, LUGHA MBOVU, MAJIBU MABAYA.... Hakuna Mwanaume atakaa na wewe
Wakati mwingine mnaachwa mnajiuliza, 'Amewezaje kuniacha na
mi ni mzuri hivi'
Jifanyie Internal Scanning kuhusu TONE yako unapoongea na
Mwanaume, Mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja... Yaani wewe Afande KIBESI,
na Mmeo Koplo KIBESI, Huo sio Uhusiano ila ni kikosi cha Askari wa Kiwango
Security.
A woman should be tender.. Soft-tonned.. a listener.. Huwa
mnazidiwa vitu vidogo tu, we unajifanya kidume, wakati MCHEPUKO unaongelea
puani hata kama nimeukosea mimi UNAHAMWA!
MTU unakaa kibarazani kuongea kuanzia asubuh
mpaka jioni mdomo umekua mwekundu kama nyanya ya masala inahusuu midole
imemchanua kama ndizi ya bukoba jifunzeni kupeti waume muda mwingine nyie
wadada wazuri mnaringa sana hasa mkivaa weaving limefumuka kama kabichi la mia
tano vipi utakuta unapost "beib said tz OK"
Wapiii utahamwa ataenda kwa wakawaida mno wenye macho kama mayai ya
kuchemsha na mtoto atatulia kwangu kaipenda asali ya kopo mamaaa inahusuuu...
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment