Sehemu Ya (114) : Jinsi Neno.. "Ningejua" Linavowaliza Ladies.. Baadae.
Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa ukiona watu wapo Kwenye
mahusiano,
wanapendeza na wanafurahiana waombee mema zaidi coz kizazi hiki cha Sasa kina mambo mengi Sana so mpaka watu kukubaliana kuwa Kwenye mahusiano ni shida😀😀
wanapendeza na wanafurahiana waombee mema zaidi coz kizazi hiki cha Sasa kina mambo mengi Sana so mpaka watu kukubaliana kuwa Kwenye mahusiano ni shida😀😀
Akaniambia unaweza omba number Za Wanawake 50 ukakutana Na 1
tu ambaye utasema yes huyu ndio namtaka na Wanawake Pia ni hivyo hivyo anaweza
kugawa number Kwa wanaume 50 akatokea 1 tu ambaye anaweza kusema yes huyu ndio
namtaka.
TUANZE NA WANAUME: Mwanaume Mwenye akili uwa anaamini kuwa
Mwanamke ambaye yupo real hawezi thubutu kumsumbua yani ataogopa kuwa akileta
pozi atampoteza so wanaume wanapofanya machaguo yao uwa wanapenda Sana Wanawake
ambao wapo simple.
Nipo busy, shule, siwezi kuja huko, nikiwa na muda
nitakwambia, no tukikutana tena nitakupa number, Kama hutaki kuja basi n.k
WATACHEZEWA SANA NA KUACHWA.
TWENDE KWA WANAWAKE: Wanawake wasio jielewa uwa wanadhani
mwanaume wa kweli utamjua pale utakapo mletea pozi, utakapo msumbua Au utakapo
mpa majibu ya kukatisha tamaa C KWELI..
Wanawake wengi wanakosa wanapotaka na KUJIKUTA wanaangukia
wasipo taka kutokana na Pozi zao Za kipuuzi.
Wana kwambia kubembeleza Sana haima tofauti na kulazimisha so mwanaume
anaejitambua anabembeleza kidogo akiona Mwanamke hasomeki anajua kuwa hii c
BAHATI yangu so acha niwaachie wenyewe,
Mwisho Mwanamke anakuta amekosa na kumfata kumwambia kuwa
rudi zile zilikuwa Pozi tu hawezi basi anabaki na maumivu moyoni mwisho
anaishia na neno la kipumbavu mawazoni mwake "NINGEJUA NISINGE LETA
POZI"
Umepata mtu aliye kubembeleza sana lakini ukikutana na Jamaa
uliye mletea Pozi roho inakuuma ALINITAKA YULE😜😜 Pozi, maringo ambayo hayana maana hizo zote ni zilipendwa.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment