Sehemu Ya (113) : Maisha Haya Kizazi Hiki Cha Sasa "KIKI" Ni Nguvu Za Kiume Tu.
MFANO: Utatoa povu la kutosha kuanza kushauri watu Wanywe
Maji ya madafu na usisikilizwe hata kidogo. Coz utaanza kusema kuwa ooooh! Madafu yana safisha kibofu n.k
Aliye kwambia kibofu chake kichafu nani? Ukitaka wauza
madafu watembelee Magari hapa mjini na HAYO madafu yaishe kabisa tuwe tuna
yafata tanga na ZNZ tangaza kuwa yanaongeza nguvu za kiume na tulia tunga
sababu za kueleweka.
MTASHANGAA KUWA MPAKA KINA MAMA WANA YANUNUA😂😂😂😂😂..
Mta nisamehe ila mi uwa nakiitaga kizazi cha wazinzi hiki coz hakuna utakacho
kiongea ueleweke zaidi ya nguvu Za kiume.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment