Sehemu Ya (115) : Je, Ni Kweli Ladies Wana 97% Ya Kuwa Na Mahusiano Zaidi Ya Moja.

Kuna Jamaa alimwambia Demu wake kuwa mi najua kuwa Wanawake wana
kuwaga na wanaume wengi japokuwa co wote na ukitaka uachane Na Mwanamke umfatilie coz kuna 97% Za kumkuta na mwanaume mwingine.

So ukitaka kuishi na Mwanamke Vzr bila shida ongeza juhudi Kwenye sex, ubunifu uongezeke day after day na usimfatilie coz Unaweza kuwa mbunifu iliali hela huna so atafata hela nje Au PESA unayo lakini Kazi huwezi so atafata Kazi nje MUNGU HAKUPI VYOTE so kuwa mpole.

BACK TO THE STORY: Jamaa alimwambia Demu wake kuwa nakupenda Sana, fanya yote lakini usije kubeba mimba ambayo co yangu Na ukanambia kuwa ni yangu adhabu yake itakuwa ni kifo na hutojua lini nitakuua.

Ukiniambia una mimba yangu nitakubali coz we ndiye unae jua ila Mtoto akizaliwa lazima nimuibe nikampime DNA nikijua kuwa co wangu  sikuulizi ni wanani ila nitatafuta njia Za kukuondoa duniani mi nibaki na mtoto halafu nione Mpuuzi atakaye jitokeza kusema huyu ni Mtoto wake😂😂

Mwanamke hakumaliza week akasepa kaachana na jamaa😂😂😂😂😂😂 .

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments