Sehemu Ya (112) : Ladies, Kinachokuchefua Wee Ndo Kinachompa Furaha Mwenzako.. Kama Inauma Chomoa.
Jamaa Kwenye kupita pita mtaani akakutana na binti flani
mzuri, akasimamisha
Gari na kumsalimia. Yule binti aligeuka na kukunja mdomo kama chuchunge na kusepa, Jamaa alifurahi na kujisemea kichwani kuwa TATIZO ELIMU. Baada ya siku kadhaa alikuwa Sehemu anapata wine baada ya kazi ghafla anaambiwa usilipe Yule dada amelipa, akashangaa na kwenda kusema Asante.
Gari na kumsalimia. Yule binti aligeuka na kukunja mdomo kama chuchunge na kusepa, Jamaa alifurahi na kujisemea kichwani kuwa TATIZO ELIMU. Baada ya siku kadhaa alikuwa Sehemu anapata wine baada ya kazi ghafla anaambiwa usilipe Yule dada amelipa, akashangaa na kwenda kusema Asante.
Yule dada akamwambia Ucjali ningependa uendelee kukaa coz mi
Bado natamani kuendelea kukuona, Jamaa akamwambia Ucjali tutaonana tu but now
kuna Sehemu nawahi Mdada akatoa Busness card akampa Jamaa akamtext.
Wakalibishane Baadae Kwa chakula CHA jioni & wine mwisho kitu na box.
Kesho kutwa Mdada kamuomba Jamaa aende home kwake Kwa
chakula CHA jioni JAMAA AKAENDA. Anagonga kengele Mara Yule Mdada aliye mkunjia
mdomo kama chuchunge anakuja kufungua WOTE WAKASTUKA ILA JAMAA AKAKAUSHA.
Kuingia ndani Mdada kamkumbatia na mabusu tele halafu akatambulisha...
Baby huyu ni dada wangu wa kazi.
Jamaa akajibu okay nime furahi kumjua.
Mdada: Karibu HAPA ndio kwako so anytime & no body can
stop you. Kifanya Kazi mbio chumbani😂😂😂
JIFUNZE KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO.
Umetoswa Sehemu ambayo ulikuwa umejipanga kutoboka
kuhudumia, UMEKUJA kupendwa Sehemu ambayo unaulizwa baby nikupikie nini leo?😂😂😂
Baby natamani Leo tutafute hotel tutaleeeeee
Baby mbona mnyonge hivyo au huna hela? Tel meeeeee honey
Baby kuna mchongo flani hivi nafikiri unakufaa so ngoja
niufatilie ukikaa sawa nitakutonya😜😜😜
NI SOMO RAHISI LISILO HITAJI HATA TUTION: Ukiona Demu
anaringa sana ujue ni choka mbaya huyo lotion Na nguo zina mlinda so..
#KamaInaumaChomoa.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment