Sehemu Ya (111) : Jinsi Wanaume Wanavyoweza Chagua Ladies, Over Their Mothers.
Una jibu mama tutaona ikifika yani sina hela kabisa!!. Haya mwanangu nakuombea Kwa mungu upate coz unajua kuwa
kimbilio langu ni wewe.
Haya mama.
Demu wako anakutumia msg kuwa baby please kumbuka saloon,
nguo ya kuvaa, viatu na PESA ya matumizi c NILIKWAMBIA kuwa mama na dada zangu
watakuja?
Ucjali honey I wil try my best .
Unatuma PESA ya nguo, saloon, Viatu na matumizi halafu Kwa
mama huna helaðŸ˜ðŸ˜.
Kumbuka kuwa mama hakuoni ila mungu anakuona na kumbuka Hata
mama yako Pia ni Mwanamke na tena ni mwanamke Bora kuliko huyo anae kuzuzua.
SWALI: Hivi unajua kuwa huyo Mwanamke aliye kuomba hela
ameomba wangapi? ILA KUMBUKA USEMI WA MAMA YAKO KUWA YOUR THE ONLY ONE KATIKA
MAISHA YAKE.
Think about your Mommy first than you can think about
vinyonya damu ASANTE KWA KUNIELEWA.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment