Sehemu Ya (110) : Hivi Ladies, Nini Hasa Mnataka Kwa Wanaume??

Ulipokuwa sekondary akaja mtu wa chuo akamchukua mpenzi wako, ukaenda chuo akaja mtu
anayefanya kazi akamchukua mpenzi wako, ukapata kazi akaja mwenye gari lake akamchukua mpenz wako, ukanunua gari akaja mtu aliyeoa akamchukua mpenzi wako, ukaamua uoe kinakuja kiben10 cha chuo kinamchukua mke wako HIVI WASICHANA NI NINI CHA ZAIDI MNATAKA KWA SISI WAKAKA?


#AmaKweliMwanamkeSioTuitionUkimsomaHutoMwelewa.


Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments