Sehemu Ya (108) : Jinsi Ladies, Wavowafanya Baadhi Ya Wanaume Pumziko La Mioyo Yao.
Unaanza kumfatilia binti akiwa bikra anakuja kukukubali akiwa hana bikra au
amesha zalishwa halafu anakwambia nakupenda Sana unakubali😂😂😂😂 UKAPIMWE AKILI. Kama anakupenda alikuwa wapi kukupa kipindi chote icho azurule na mipuuzi huko ndio aje kwako? HAPO HUPENDWI KIJANA.
Unaweza pendwa Na mwanamke Mwenye watoto 4 Na kweli ukaamini KUWA anakupenda coz mmekutana akiwa na hao watoto kuliko binti ambaye ulimfatilia tangu akiwa bikra halafu anakuja kukupa wakati watu wamesha fumua hiyo bikra ANAEPENDWA NI HUYO ALIYE FUMUA ILA AMEGUNDUA KUWA HAPENDWI NDIO MAANA ANAKUJA KWAKO KUTAFUTA PUMZIKO.
Omba niendelee kuwepo hai ili niendelee kukufumbua macho day after day.
#UkiamuaKukazaKazaMpakaMwisho
#IlaMuoshaHuoshwa.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment