Sehemu Ya (107) : Je, Unayajua Madhara Ya Kuwabembeleza Saana Ladies??.
Kuna rafiki yangu flani anakwambia kuwa hupaswi kumbembeleza
Mwanamke
kupita kiasi ili uonane nae coz madhara yake ni makubwa.. Mwanamke
anapo kuja kwako siku ya kwanza, mwanaume ndio unatakiwa kumuonesha kuwa
unataka sex yani usipo fanya hivyo we mwanaume utakuwa na shida hata kama
Mwanamke atakuwa anataka hapaswi kukuonesha wewe Kwa hapo nawa tetea.
TURUDI KWENYE MADHARA YA KUMBEMBELEZA MWANAMKE KUPITA KIASI
Ukimbembeleza sana Mwanamke madhara yake nikwamba hata ukiwa
nae Sehemu sahihi ya kumuonesha kuwa unahitaji ile kitu inayo mmesa mwenzake
lakini utakuwa unaogopa coz umetumia nguvu kubwa sana kumbembeleza na pia
anaweza kukwambia sitaki, usiniguse, niache! UTAMUACHA COZ UTAOGOPA YANI HIYO
HAINA TOFAUTI NA KUKARIBISHWA NA MTOTO WA KIKE AMBAYE UNATAKA AWE ZAIDI YA
RAFIKI KWAKE COZ HUWEZI KUJIAMINI KUMLETEA FUJO ZA HAPA NA PALE, UNAWEZA
KUFUKUZWA😂.
So kama una muhitaji mwanamke kuwa wako basi hepuka
kumbembeleza sana coz uwa wanavimbaga vichwa Hawa watu halafu utajikuta
unamkosa kijingaaaaa… Usiitwe kwake ukaenda coz ukimfanyia zile fujo zetu ukiwa
kwake ni UKOSEFU wa adabu, huwezi leta fujo kwa watu coz unaweza kufukuzwa na
ukawa umejishusha.
Mwanamke yoyote mwenye kujielewa uwa anapenda mwanaume
Mwenye fujo coz usipo leta fujo atakosa pozi la kukupa halafu utakuwa umemkwaza😂😂.
ILA HIZO FUJO ZIWE KWAKO AU ZIWE SEHEMU AMBAYO WEWE UMEMUITA
NA CO KWAKE AU YEYE AMEKUITA.
Mtu yoyote anaeitwa anatakiwa kumsikiliza aliyemuita so
mtoto wa kiume ukikubali kuitwa na mdada kuwa mpole msikilize anachotaka ila
naamini mwisho utaanza kujutia muda wako uliopoteza Na gharama Za kufika huko
coz hana uwezo wa kukuonesha kuwa anataka ile kitu inayo mkuna mwenzake.
#HiiniKwaWenyeSeriazRelationshipTuu
#UkiitwaKwaMwanamkeUsiendeMwingineAnakupimaUlivoZuzu.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment