Sehemu Ya (106) : Jinsi Ladies, Wanavotaka Maisha Ya Kwenye TV Bongo.

Rafiki yangu flani aliniambia kuwa tatizo la wanawake wa bongo wanataka
kucopy maisha ya wanao jitambua huko Na kutulazimisha sisi tukubaliane nayo MAISHA YA KWENYE TV TUNAITA. Kwanza bongo hata mke wako awe na Kazi labda usaidiwe tu ila jukumu la kutoboka mfuko ni lako mwanaume ULAYA WOTE.

Bongo ukionekana unatolea macho kipato cha mkeo kila mtu atakucheka ULAYA ACCOUNT MOJA PESA ZOTE ZIONEKANE.

Hapa tuanze na Ulaya coz ni aibu🙈🙈.. Hii nimeipata live Kwa rafiki yangu anasema DENMARK mtu ajengi wala hanunui Nyumba mpaka ampate mwenzake ili wajenge/wanunue Nyumba wote yani Kwa kifupi wachume wote BONGO MIJANA MKE INATAFUTA WANAUME WALIO WEKEZA ILI IJIWEKE🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾

Unataka kunidekea wakati nimetoka mishe Sina sent tano na nimekoswa koswa na piki piki c unataka nikupasue tu mama? Nikifika home nibembeleze, niwekee Maji ya kuoga, nikologee chai ninywe tuongee HAPO INAPENDEZA.

Unalazimisha niwe nakutoa out wakati kiwanja chenyewe chamkopo na sijamaliza huo mkopo UNA NIPENDA KWELI WEWE? Unataka nikirudi niwe nakuja Na zawadi wakati kodi ya meza utata na hapo mchepuko sina.
WANAWAKE HII TANZANIA CO ULAYA SO MALOVEEEE TUWAACHIE ULAYA HAPA KAZI TU😂😂😂😂😂😂😂😂.

Maloveeee yanataka PESA mingi jamani, ndio maana wanawake wanapenda wanaume wenye PESA coz hakuna masikini kama mimi Mwenye maloveeee  SIKU UKIMPATA NIAMBIE UMEMPATA MI NITAKUNYWA SUMU NAKUFA😂😂😂😂

#NoOffence

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments