Sehemu Ya (105) : Je, Waijua Dawa Ya Wale Ladies, Wanaojikuta Wako Busy.. Unapo Wahitaji??
Nilikutanaga na mrembo miaka 3 iliyopita, nilimuonesha sana
kuwa namuhitaji
yani kuonana nae tena na mengineo ambayo c lazima niongee ila
kama umejaaliwa uwezo wa kuelewa utakuwa umenielewa lakini ilishindikana. Basi
nikamuweka kwenye kundi la marafiki wa kupiga nae stori za hapa na pale no more
coz huwezi kulazimisha kitu kisicho wezekana.
Leo asubuhi nipo sehemu ya msosi nilipo geuka nikaona mtu
ana nyinyooshea mkono, nikajiuliza nani yule anataka nikakae nae! NIKAJIULIZA
NIME KUWA HB KIASI ICHI?😂😂 Nikaenda ila nilihisi amenifananisha
so cha kwanza niliomba anikubushe mi ni nani.. Akaniambia acha masihara kila
siku tunachat?
Nikamwambia uzee huu mama tusameheane but naomba
unikumbushe.. Akasema nakupigia cm nikawa nimeshajua kuwa ndio wale wako busy wote mpo dar na wilaya moja au
kitongoji kimoja ila kuonana nae povu likutoke na linaweza kukutoka na usimuone
TUPANGE HUKO.
Nikamwambia ukipiga nitakujua coz uwa sifutagi number ila
Kwa bahati mbaya cm yangu niliacha Kwa gari so sikuweza ikabidi aniambie tu
yeye ni nani nikamkumbuka.. Nime piga nae sana stori mwisho namuaga niwahi job
ananiambia jumamosi nakuja kukupa hi utakuwa home?
Nikamuangalia halafu nikamwambia hapana sinto kuwepo nitakuwa
Safari coz nitatoka ijumaa jioni kuelekea Songea.Basi
ukirudi niambie, nikamwambia ucjali. ila Kiukweli sina safari na sitaki tena
kuonana nae labda mtaani tu kama tulivyo onana leo na kuchat haina shida. Mi ni
yule yule Jana, leo na hata Kesho mungu akiniweka hai siwezi badilika so kama
ulikuwa busy miaka 4 Endelea kuwa busy hivyo hivyo UONE UTAPATA FAIDA GANI.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment