Sehemu Ya (104) : Wanaume, Jinsi Ya Kujua Mwanamke Mwenye Mahusiano Na Wanaume Wengii.

Maisha haya yani kila mtu anajua lake na hapaswi kupuuzwa😂😂 Nakumbuka
kuna siku tulikuwa washikaji sehemu tu tuna badilishana mawazo Kuna rafiki yetu Mmoja akauliza kuwa hivi wanawake huwa hawanaga hamu? Coz anaweza kuja geto akakukomalia Na wakati huo hata hana sababu ya kukukomalia yani basi tu!!

Jamaa mmoja akasema viumbe dhaifu hivyo wengi hawajielewi anakomaa ili na yeye aonekane anauwezo wa kukataa c Mtu wa kupelekwa pelekwa.

Mwingine akasema usibishane na mwananke coz Mwanamke akitoka asubuhi mpaka kurudi jioni wanaume kama 15 hivi wameomba number na wengi wamepewa na wote wanaulizia hicho unachotaka wee kuwa watapewa lini so akikuzingua zikimzidi akituma msg ya hi Kwa 5 Kati ya 50 wanao msumbua 3 au 4 watauliza upo wapi nikufate so akitoka mlangoni kwako anaenda Sehemu nyingine UKIONA ANAZINGUA WE MWANGALIE TU WALA USIGOMBANE NAE.

Mwingine akasema mademu wana wanaume wengi coz wanatongozwa kila siku "HAWEZI KUKUBALI WOTE" ila Mara nyingi wana kuwaga na zaidi ya Mmoja so wana tumika sana ndio maana ukimwambia njoo home hataki coz anajua huna unachotaka zaidi ya kutaka game na yeye unakuta week hiyo katumika sana so atakuzingua tu TUSIWALAUMU.

Mwingine akasema ukiona Demu amekuelewa fasta Na hajaleta usumbufu jua amekupenda Sana so aliogopa kukukosa na utaona atakavyo kuwa anakusumbua yani akiwa Na hamu tu BABY where are you? I want you😜😜

Lakini Demu umefatilia miezi mpaka unakata tamaa ghafla Ameingia mikononi from no where 😂😂 Huyo ana wanaume wengi ila ilitokea bahati mbaya utakuta Mmoja kamfumania Wapili Wamepishana kauli Watatu yupo mbali na yeye ana hamu so hiyo siku inakuwa ni bahati yako na mwanamke kama huyo usitegemee kuwa ataomba game kwako usipo omba utajiju coz wanaotaka sex ni wengi mpaka wana muumiza kichwa🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾


So mademu c kwamba hawapendi sex futa HAYO mawazo mabovu. Wanapenda kuliko sisi ila wana tumika sana so ukihitaji na we unae jihisi Mwenye Mali unakunjiwa uso😁😁 Siku bahatika kupata mwanamke ambaye hana wanaume wengi uone KILA SIKU ANATAKA YEYE MPAKA RAHA😁😁.


Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments