Sehemu Ya (103) : Ladies, Wengi Wenu Mnapenda Saana Kuambiwa Uongo Na Sio Ukweli.


Kuna siku nilimkuta rafiki yangu flani wa kike anatokwa na machozi😭😭😭
Nikamuuliza vipi mama, unatatizo gani? Akaniambia we acha tu yani nashindwa hata nianzie wapi kusema!

Nikamwambia sema tu coz mi ndio rafiki yako usipo KUWA wazi kwangu utakuwa wazi kwa nani? Akaniambia yani nyinyi wanaume c watu?
Nikamuuliza kwanini unasema hivyo? Akaniambia yani nyinyi ni waongo sana sana Nikamuuliza KUWA Kwani mi nimesha kuongopea? Akasema hapana ila kwa KUWA hujanitaka ndiomaana.

Nikamwambia ok tuachane Na hayo, niambie nini tatizo Rafikiangu?
Akaniambia KUWA nilikutana Na Jamaa Kwenye sherehe akaonesha kunitaka na mi nikaonesha kumuelewa ila kabla cjampa game niliomba sana aniambie anashugulika na nini hakusema, mwisho akasema kuwa yeye ni Mwanasheria
Basi tukaanza mapenzi, chakushangaza juzi nimemkuta kwa macho yangu anajenga nyumba maeneo ya Tabata yani nilisikia kizungu zungu ghafla😁😁😁
Roho imeniuma sana, kwanini anidanganye!!!!

Nikamwambia pole sana rafiki yangu ila hayo matatizo ya kudanganywa wanawake uwa mna yatakaga coz uwa mnatengeneza mazingira ya kudanganywa nyinyi wenyewe Na hayo yote utokana na wanawake wasasa hamvutiwi na mtu bali uvutiwa na chake huyo mtu Turudi nyuma angekwambia anajenga ungeanza kusema upo busy Coz Kwenye akili yako umesha weka ndoto za kuwa na warusha ndege, watu wa TRA au wafanya Biashara wakubwa
Kitendo cha kulazimisha kutaka kujua mtu anashugulika na nini kabla ya kuwa nae inampa pic Mtu KUWA we ni Mtu wa aina gani so atapita humo humo unapotaka wewe ili awe Na wewe.

Ukichunguza utagundua kuwa wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli Na ndio maana uonesha mapenzi pale tu anapojua Au kuhisi kuwa kuwa hapa pana chapaa😂😂😂 So vilio vingi Vya wanawake sasa hivi ni wanaume waongo NANI ANABISHA?? We bonge la dada zuri unaanzaje kuliambia we Kinyozi, uh?
Unaanzaje kuliambia kuwa we kishoka TRA. Unaanzaje kuliambia we huna Kazi upo tu.. ENDELEENI KUTUONA WAONGO MPAKA HAPO MTAKAPO BADILIKA NA KUWA NA MAPENZI YA KWELI.

#UongoKwenyeMapenziNiKamaMionize.

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 

WhatsApp +255 715 758 021

No comments