Sehemu Ya (102) : Usitake Kujua Kila Kitu , Vingine Vitakuumiza Akili Tu.
Usitake kujua kila kitu coz vingine vitakuumiza akili tu na
kujisikia vibaya tu but kuwa
kila kitu kinafanyika Kwa mipango ya mungu SEMA AMEN.
kila kitu kinafanyika Kwa mipango ya mungu SEMA AMEN.
Mfano: ukijua kuwa mama yako alishakunywa Dawa ili akutoe
ukagoma kutoka utampenda mama kweli? BUT NOW HAKUNA KAMA MAMA NA WE UNAPIGA MAKOFI👏🏽👏🏽👏🏽
Mfano: Hivi utajisikiaje ukisikia kwamba mama yako
hakumpenda baba yako ila nipesa tu ndizo zilizofanya awe nae? HAYA KUHUSU HAYO
UNACHUKIA NINI SASA.
Utajisikiaje pale ambapo utasikia kuwa mama yako alikuwa ni
Mke wa tajiri flani matata Sana ila kilicho mtoa huko ni kufumaniwa na shamba
boy wa huyo mzee yani baba wa kaka yako na kupewa mimba so huyo ambaye ilibidi
awe baba yako kamfukuza mama yako na kubaki na kaka yako halafu we umependa
kuzaliwa kwenye shida mwanzo mwisho😭😭 UNAWEZA KUMKATA MAKOFI
HUYO MAMA😂😂😂.
Kitu kimoja kizuri nitakwambia ambacho kinaweza kukupa faida
kwenye maisha yako "FORGET ABOUT PAST" jifunze kuangalia mambo yako
na c ya watu wengine, jifunze kuangalia ulicho kuwa nacho na c kilicho potea
coz kilisha potea already, jifunze kupambana kutoka hapo ulipo na huko unapo
kwenda, kuwa mtu wa shukurani na usiwe mtu wa kulalamika.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment