Sehemu Ya (9) : Kwanini Wanawake Descent Hawapati Goodmen?
Sijui kwanini lakini Wanawake Descent, wenye adabu na Tabia
njema hwapati Good men wa kuwaoa. Mtu anajitunza weeee hadi kutu... Akijaribu
tu kuamini mtu, pancha!
Ikitokea amefanikiwa kupata True Love basi jua amehustle na
kubutuliwa kama kitenesi cha Pete Sampras, amempata huyo mtu kwa kutoa Jasho la
Pink! Wamepitia kila aina ya relationship, Fusso type, Taxi bubu type, Bodaboda
type hadi wamempata huyo mtu kasheshe.. Sasa sijui Good men wapo wachache...
nyie mnajua zaidi Lakini pia Wanawake vicheche, nani anataka.. Nao mbio ni
zilezile, ukijimix tu anakutegeshea m-mimba huooo! lakini pamoja na hayo kuna
watu wamezaa watoto wa3 na ndoa wanaisikia tu kwenye Mkasi Show, holla!
I have a good news
for u, descent woman, usiuze utu wako kwa sababu umehangaika sana na hujapata
mtu sahihi.. Hakuna Shortcut..Ukicheche haulipi pia, so ni afadhali uendelee
kutumbua macho, hata kama mbele vumbi we tumbua macho hadi kieleweke, Mungu
atakuona kwa wakati wake, hakuna Destiny iliyo rahisi, muulize Bakhresa...
Temporary Solutions are for Temporary problems na hali kadhalika, Husband
search ni Permanent Problem, so usitumie Temporary solutions, seek for
Permanent solutions ili ukisettle ndo imetoka. Shortcut hazilipi.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment