Sehemu Ya (10) : Mapenzi Yanahitaji Maandalizi.
Ngoja tuone Kuna aina ya Wanawake huwa wanasababisha
Boyfriend zao wacheat... Wana Masharti kama fomu ya kujiunga Upatu...
Hawataki Romance, eti mate uchafu... HAwataki uwaguse wakati wa Preparation.. Hawataki kula ndizi
matoke ya mbeya. Wengine hizo ndo raha zetu.. Bila hizo preparation mahaba hata
hayanogi tena, utadhani unafanya Mapenzi na Waasi wa Boko Haram. Yaani wao
wanataka mkifika ni Segere tu, basi! Eti hayo mambo ya Kizungu ni uchafu, Aliyekwambia Mapenzi ni
Biashara ya Usafi ni nani???
Ukiamua kuyavulia nguo Mapenzi huna tofauti na Chizi, kila
kilicho jalalani ni halali yako kula. Hizo sheria zenu kama Katiba ya FIFA
pelekeni kwa Shangazi zenu. Mapenzi bila maandalizi? Jamaa atagonga nje tu,
akutane na mtoto wa Kitanga, lahaullah, halafu unamlaumu eti unatafuta nini
huko nje, Nje kuna upepo ndani joto!
Kama we ni mmoja wao PLEASE badilika, zile mishemishe kabla
ya Mechi ndo mpango mzima kwa Mwanaume, KALAGHABAHO!
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment